English (Kiingereza)

Usalama wa Lishe kwa Wakulima katika nchi za Hari

Picta: AET

Aina ya mchicha wa nafaka uliotokea Kusini mwa Amerika waweza kuokoa nchi za Afrika.   Kwa maelezo zaidi kuhusu Mchicha na mimea mingine - bwenyeza Mimea.

Karibu kwenye ukurasa wa mwanzo wa Usalama wa Lishe kwa Wakulima katika nchi za hari.  Tuvuti hii inawaelekeza wakulima na wahudumu wengine wa nyanjani jinsi ya kukuza vyakula zaidi na kutoa lishe bora kwa jamii kupitia kwa,  mifumo bora na mbinu za teknolojia zilizoimarishwa.

Utapata fursa ya kuona maelezo na majaridi mengi kuhusu mbinu bora za kilimo na ujuzi.   Waweza kusoma au hata kutoa nakala yako kwenye tuvuti.

Hata hivyo, waweza kudondoa kwenye kanda ya floppy disk au CD Rom na kutumia kwenye tarakilishi nyingine isiyo kwenye laini ya mtandao.

Hivyo basi, maelezo yaweza kuenezwa na kujadiliwa miongoni mwa wakulima, maafisa wa Kilimo na Misitu, Mashirika yasiyo ya serikali, shule na afisi nyingine.

Ukurasa na maelezo yaweza kudondolewa kwa urahisi.  Iwapo utapata matatizo basi tujulishe kupitia ukurasa wa Majibu kwa kujaza fomu.

Tutakuwa tukiongeza majarida mengine mapya kwa ajili yako, hivyo basi, weka anwani hii www.food-security.info kama mojawapo ya tuvuti au ukurasa wako bora kwenye  mtandao.  Halikadhalika tunatoa ushahuri kuhusu mahali unapoweza kupata maelezo zaidi kwa kubwenyeza ukurasa wa Mashujaa na anwani upande wa (Kushoto).

Ukurasa wetu wa kusakura una matatizo ambayo tunajaribu kurekebisha.  Shida moja ni kwamba hauwezi kutafuta kipengele muhimu katika makala ya kutangua kutoka kwa tuvuti.  Tunatumai kwamba vipengele hivi vitakuelekeza kufika sehemu unayohitaji.

Bango la Mzunze

Boji na Mbolea

Kilimo Mseto

Kukuza Vyakula

Kutunza Mifugo

Lishe bora

Maendeleo ya jamii

Majarida ya Kilimo

Majibu

Mashujaa na anwani za marafiki

Mimea

Miti A-D

Miti E-Z

Teknolojia

Wadudu na Magonjwa

…rudi katika kurasa ya kusakura

 

English (Kiingereza)

 Jee, unao ujuzi au maarifa unayoweza kuwapatia au kushirikisha na wenzako?  Soma maelezo kuhusu jinsi unavyoweza kuleta mabadiliko.  Bwenyeza [Ushirika wa ujuzi] kwa maelezo zaidi.

Anwani ya Maelezo:  

Simu na ujumbe mfupi: +44 (0) 785 480 0891 Feksi: +44 (0) 871 243 1587                        Hit Counter

Barua-pepe:  food-security@lycos.co.uk (Kiingereza) au pbkamoyani@lycos.co.uk (Kiswahili) tuma maswali, maoni au mapendekezo kuhusu mtandao huu. 


Copyright © 2005 Food-Security.info                  Marekebisho ya mwisho: Juni 22, 2006