|
Ukuzaji wa
vyakula huhitaji:
Aina
ya mmea,
ujuzi
wa kuzalisha na mchanga unaofaa aina ya mmea,
ufahamu
kuhusu mahasimu na jinsi ya kukabili.
Tumegawanya
`Ukuzaji wa Vyakula' kwenye sehemu hizi. Ili
kudondoa na kupata nakala, bwenyeza vielekezi vilivyo kando.
|
Picta: AET Mkulima Simon Asava
akitumia mtambo wa Approtec kunyunyizia
vyakula kwa matumizi ya jamii.
|

Picta: AET
Miaka
miwili iliyopita Simon alipata maelezo kuhusu
kilimo mseto na
mimea
ya kuimarisha rutuba na naitrojeni. Hivi sasa Simon aligeuza shamba
lake ndogo kuwa lenye rutuba nyingi. |